Audio: The Rapping Preacher - Penda Mungu Wako - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: The Rapping Preacher – Penda Mungu Wako

Audio

Audio: The Rapping Preacher – Penda Mungu Wako

Kutoka nchini Kenya kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop akifahamika kwa jina The Rapping Preacher(TRP) na huu ni wimbo wake mpya uitwao Penda Mungu Wako.

Wimbo huu umepata uamsho kutoka kwenye kitabu cha Marko 12:30 Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako zote.’

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utakubariki na kukugusa kwa namna ya kipekee, Ameen!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji The Rapping Preacher (TRP) kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 727 886 952
Facebook: Antony Odhiambo Nyamrer
Instagram: @anto_trp.therapgenius
Youtube: TRP aka TheRapGenius

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top