Video: Steve Williz – Stood In The Gap - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Steve Williz – Stood In The Gap

Video

Video: Steve Williz – Stood In The Gap

Mtumishi wa Mungu anayefahamika kwa jina la Steve Williz kutoka nchini Nigeria ameachia video (live version) ya wimbo wake mzuri wa Ibada uitwao Stood In The Gap ikiwa ni wimbo unaobeba jina la albamu yake mpya aliyoiachia hivi karibuni

“Unatuamsha kila asubuhi, unapigana na vita zetu kila usiku, Kutuweka salama tupatapo ajali njiani, na daima amekuwa akutupatia ushindi, Yote haya ni kwasababu amesimama upande wetu toka miaka 2000 iliyopita.” – alisema Steve Willz

Ni hakika utabarikiwa kutazama na kusikiliza wimbo huu mzuri wa Ibada utakaokuinua na kutakasa nafsi na Roho yako, Bwana Yesu asifiwe!

Social Media
Facebook: Steve Williz
Instagram: @stevewilliz
Twittter: @stevewilliz

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top