Connect with us

Gospo Media

Audio: Peterio Peter – Nichezeje

Audio

Audio: Peterio Peter – Nichezeje

Kutoka jijini Dar es salaam leo tunamtabulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Peterio Peter, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Star Records chini ya mikono ya prodyuza Osta.

“Japo tunapita katika majaribu misukosuko ya maisha katika huu ulimwengu lakini Yesu wetu bado ataendelea kututosha hatatupungukia, Hatuna cha kusema kwa Mungu wetu maana uwepo wake kwetu ni furaha tosha, Upendo wake utabaki kuwa kweli, tuendelee kumuomba azidi kuwa karibu yetu, uwepo wake uendelee kutufurika, Zaidi ya yote tuendelee kumsifu MUNGU aliyetukomboa katika kifo cha moto.” – alisema Peterio

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo na tunaamini kuwa utabarikiwa, Ameen!

 

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/09/Peterio-Peter-Nichezeje.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Peterio Peter kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 687 080 089, +255 759 134 904
Facebook: Peterio Peter
Instagram: @peterkimea_official
Twittter: @peteriopeter

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top