Video | Audio: Olan adefihan - Let Me Know You - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Audio: Olan adefihan – Let Me Know You

Audio

Video | Audio: Olan adefihan – Let Me Know You

Kutoka nchini Uingereza leo tumekusogezea wimbo wa ibada uitwao Let Me Know You kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Olan adefihan.

Let Me Know You ni wimbo unaopatikana kwenye albamu yake ya pili iitwayo “One Desire” iliyoachiwa mwaka 2017, Kwa mujibu wa Olan, wimbo wa”Let Me Know You”uliandikwa kutoka mahali palipokata tamaa kabisa, Kutoka katika moyo ulioanguka na kilio cha uchungu kinachoomba msaada kutoka kwa Roho Mtakatifu.. Huu ni moyo unaohangaika kutafuta kweli ya Mungu hasa pale tunapokuwa katika majaribu mbalimbali ambayo kwa akili zetu hatuna uwezo wa kuyavuka.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa, Amen.

Download Audio

Social Media
Facebook: Olan adefihan
Instagram: @olanadefihan

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top