Connect with us

Audio: Lord Benlee – Yes I Do

Music

Audio: Lord Benlee – Yes I Do

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza tumekusogea wimbo uitwao Yes I Do kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Lord Ben Lee, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza G-Ben.

Wimbo huu umeachiwa kama zawadi maalumu kwa ajili ya harusi ya mwimbaji Lord Ben Lee inayotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi oktoba mwaka huu.

Hakika utabarikiwa na wimbo huu hasa kwa wewe ambaye unatarajia kufunga ndoa yako hivi karibuni lakini wimbo huu pia unafaa hasa katika siku ya sherehe yoyote ya harusi katika kufurahi pamoja katika Bwana wetu Yesu Kristo, Barikiwa!

 

Download Audio

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,669 other subscribers

To Top