Connect with us

Video | Audio: Mnene Makweta – Kwani Shingapi

Music

Video | Audio: Mnene Makweta – Kwani Shingapi

Kutoka katika lebo ya Wanene Preachers iliyopo jijini Arusha kwa mara nyingine tena tunaitambulisha kwako video mpya iitwayo Kwani Shingapi kutoka kwa rapa wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Mnene Makweta.

Video hii imeongozwa na director Dani Mwagisa kutoka studio za Doxa Films, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Cucaz Beats chini ya mikono ya prodyuza JustNow.

Kwani Shingapi ni wimbo unaotuamsha na kuwakumbusha watu ambao bado hawajamkabidhi Yesu maisha yao wakiwa bado wanahangaika na mambo ya dunia ambayo mengi yana gharama ambazo mwisho wake ni uovu na utumwa wa dhambi, Hivyo wimbo huu ni uamsho wa wokovu kwa watu wote ambao bado hawajarudisha maisha yao kwa Yesu Kristo ili Kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yao kwakuwa Wokovu ni Bure.

Mnene Makweta ni moja kati ya rapa wanaounda kundi maarufu la Gospel HipHop maarufu kama Machalii wa Yesu.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa na kufanywa upya.  #kwanishingapi?

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Rapa Mnene Makweta kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 682 667 151
Facebook: Mnene Makweta
Instagram: @mnenemakweta
Youtube: Reinhard Makweta

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,669 other subscribers

To Top