Connect with us

Audio: Joseph Joel – Unatimiza

Audio

Audio: Joseph Joel – Unatimiza

Baada ya kimya cha muda wa takribani mwaka mmoja mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Joseph Joel aliyetamba na video ya wimbo uitwao Hata Hilo litapita mwaka 2017 kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 ameachia wimbo wake mzuri uitwao Unatimiza, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Enzi Records chini ya mikono ya prodyuza Amzy.

“MUNGU hawahi wala hachelewi anafanya kwa wakati wake.. Haijalishi umemuomba kwa muda gani endelea kusubiri na kumuamini kwa maana yeye ni Muaminifu akiahidi ANATIMIZA, mwambie Mungu kwamba naamini katika wewe na hakika nikikuomba #Unatimiza” – alisema Joseph Joel

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu wenye ujumbe mwema kwako utakaokubariki na kukuinua kila siku, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Joseph Joel kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 712 593 373
Facebook: Joseph Joel Tz
Instagram: @josephjoelmusic
Youtube: Joseph Joel Music

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,697 other subscribers

To Top