Connect with us

Gospo Media

Audio: Israel Maleck – Ni Kwa Neema Yako

Audio

Audio: Israel Maleck – Ni Kwa Neema Yako

Kutoka mjini Hydom Manyara leo kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Israel Maleck akiwa ni mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania na huu ni wimbo wake mpya uitwao Ni Kwa Neema Yako, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Voice of God chini ya mikono ya prodyuza Sindano.

“Ujumbe niliokusudia katika wimbo huu ni kwamba kama siyo Neema na Huruma za Yesu pale msalabani ningekuwa wapi? na ningeishi vipi? pia nikamaanisha kwamba sisi sote tunaishi kwa Neema ya Yesu na tulivyonavyo na tunavyovipata ni kwa Neema na Huruma za Yesu” – alisema Israel Maleck

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utakubariki, Barikiwa!

 

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/09/Israel-Maleck-Ni-Kwa-Neema-Yako.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Israel Maleck kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 784 723 277

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top