Audio: Gelax - Mwema - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Gelax – Mwema

Audio

Audio: Gelax – Mwema

Baada ya kufanya vizuri mwezi Juni 2018 baada ya kuachia wimbo wake uitwa Baraka, Kwa mara nyingine tena rapa wa nyimbo za Injili kutoka jijini Arusha maarufu kama Gelax ameachia wimbo wake mpya uitwao Mwema ikiwa ni zawadi yake maalumu kwa watu wote katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa kila ifikapo tarehe 20 September.

Muziki huu umetayarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za GM Records chini ya mikono ya prodyuza Munstar na John B.

“ASaNTeNi KWa WiSHeS! Kuadhimisha siku ya kuzaliwa ni kujikumbusha na kujua Kusudi na mpango wa Mungu maishani na Kuliishi, Ni kwa Neema ya Mungu nimeandika yaliyo ujaza moyo wangu kwenye, Song Track “Mwema”

Shiriki #Baraka hizi kwa Kuisikiliza ikiwa kama kipande cha Birthday cake niliyoitoa kwa wote hata walio mbali na kwa namna ya kipekee iguse maisha yako Mtu wa Mungu, Amen.” – alisema Gelax

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na rapa Gelax Wakristo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 657 140 440
Facebook: Gelax Wakristo
Instagram: @gelaxwakristo
Twittter: @gelaxwakristo
Youtube: Gelax Wakristo

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top