Connect with us

Audio: Flora Kachema – Nikupende Milele

Audio

Audio: Flora Kachema – Nikupende Milele

Kutoka jijini Dar es laam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili anayefahamika kwa jina la Flora Kachema ambaye hivi karibuni ameachia wimbo wake mpya uitwao Nikupende Milele, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Tripod Music.

Nikupende Milele ni wimbo kukiri upendo wa Mungu ndani ya mtu ambaye alikuwa hajagundua thamani ya na uzito wa upendo wa Yesu Kristo katika maisha yake na baada ya kuona ukuu wa Bwana katika maisha yake anakiri na kuahidi kumpenda milele zaidi, Kwa maana amegundua kuwa Yesu ni Mfalme zaidi ya wafalme, kila kitu kinapatikana kwake, Hakuna wa kufananishwa naye.

Flora Kachema ni mwimbaji aliyewahi kuwa mshindi wa pili katika mashindano ya Gospel Star Search yaliyofanyika mwaka 2016 huku nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Suleman Willson.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/09/Flora-Kachema-Nikupende-Milele.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Flora Kachema kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 624 081 564
Facebook: Flora Kachema
Instagram: @officialflorakachema

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top