Video | Audio: First Seed Ela - Hemani Pako - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Audio: First Seed Ela – Hemani Pako

Audio

Video | Audio: First Seed Ela – Hemani Pako

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunalitambulisha kwako kundi jipya la waimbaji wa nyimbo za Injili linalofahamika kwa jina la First Seed Ela na hii ni video yao ya kwanza kuachia kwa mwaka 2018 inayoitwa Hemani Pako.

Video hii imeongozwa na director Hobo kutoka studio za @hbfilmz na Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza 19Hrz @iam19hrz.

“Hemani Pako ni wimbo unaomsihi Mungu kutuficha chini ya Pendo lake, kila tunalofanya liongozwe na Yeye, tufichwe uweponi mwake kwenye raha na uzima tele, Tukitambua ya kuwa bila yeye hatuwezi kitu.” – Walisema First Seed Ela

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa kupitia wimbo huu, Ameen!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na kundi la waimbaji First Seed Ela kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 715 721 152
Facebook: First Seed Ela
Instagram: @firstseedela
Twittter: @firstseedela
Youtube: FIRST SEED ELA

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top