Connect with us

Gospo Media

Audio: Colifixe – Way Maker

Audio

Audio: Colifixe – Way Maker

Kutoka nchini Uganda kwa mara ya kwanza tumekusogezea wimbo uitwao Way Maker kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini humo maarufu kama Colifixe, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za UG-Heights chini ya mikono ya prodyduza Right Beats.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu, Barikiwa!

 

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/09/Colifixe-Way-Maker.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Social Media
Facebook: Colifixe
Instagram: @colifixe
Twittter: @colifixe

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top