Connect with us

Video: Bahati & David Wonder – Nipende

Audio

Video: Bahati & David Wonder – Nipende

Kutoka jijini Nairobi nchini Kenya leo tumekusogezea video ya wimbo mpya uitwao Nipende kutoka kwa mwimbaji maarufu Bahati hapa akiwa na mwimbaji anayeendelea kufanya vizuri nchini humo akifahamika kama David Wonder.

Video hii imeongozwa na director Rahim, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za EMB Records chini ya mikono ya prodyuza ShallzBaro.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii, na hakika utabarikiwa na wimbo huu, Ameen.

Social Media
Facebook: Bahati Kenya | David Wonder EMB
Instagram: @bahatikenya | @davidwonderemb
Twitter: @bahatikenya | @davidwonderemb
Youtube: Bahati Kenya

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top