Audio: Amyz - Stay Strong - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Amyz – Stay Strong

Audio

Audio: Amyz – Stay Strong

Kutoka ndani ya studio za Enzi Records kwa mara ya kwanza tunautambulisha kwako wimbo mpya uitwao Stay Strong kutoka kwa mwimbaji na mtayaarishaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania maarufu kama Amzy.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utakubariki na kukuinua kwa namna ya kipekee, Barikiwa!

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Amzy kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 656 805 380
Facebook: Amani Joseck
Instagram: @amyz_tz

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top