Connect with us

Gospo Media

Audio: Agent Snypa Feat. Pastor Ruthney – Special

Audio

Audio: Agent Snypa Feat. Pastor Ruthney – Special

Agent Snypa Feat. Pastor Ruthney - Special

Baada ya kimya cha muda wa takribani mwaka mmoja toka alipoachia wimbo wake uitwao Unconditional mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa Reggae Dance Hall ameachia wimbo wake mpya uitwao Special akiwa amemshirikisha mtumishi wa Mungu anayefahamika kwa jina la Pastor Ruthney.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza @smart_keyzug kutoka Uganda akishirikiana na @1717mixing kutoka nchini Nigeria.

“Endelea kulithibitisha neno la Mungu kila siku ndani yako na uone jinsi maisha yako yanavyokuwa ushuhuda.” – Agent Snypa

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza, Barikiwa!

 

Social Media
Facebook: Agent Snypa
Instagram: @agentsnypa
Twittter: @agentsnypa

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top