Connect with us

Video | Audio: Baisa Mhela – Shuka

Music

Video | Audio: Baisa Mhela – Shuka

Kutoka mjini Morogoro kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Shuka kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Baisa Mhela.

Video hii imeongozwa na director Matrix kutoka studio za wa Mandai Film na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Lupaso Records chini ya mikono ya prodyuza Ace Black.

Kumfurahisha mwanadamu si jambo jepesi hata kidogo, Hebu tuzidi kujifurahisha wenyewe zaidi, Kumfurahisha Mungu ndipo Baraka zake zitashuka kwenye kazi, Magonjwa, Ndoa lazima baraka zake zitashuka.

Shuka Roho Mtakatifu uje kuinua vilivoanguka na kuinama Maana kuna walokole wengi lakini Mbinguni hawaendi Maana kuna wachungaji wengi lakini mbinguni hawaendi, Niongoze Baba niweze kumaliza safari Yangu maana Mbinguni Naenda. – alisema Baisa

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na hakika utabarikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Baisa Mhela kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 652 155 399
Facebook: Baisa Mhela
Instagram: @baisamhela
Twittter: @baisamhela
Youtube: Baisa Mhela

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,507 other subscribers

To Top