Connect with us

Gospo Media

Audio: Thatboymassin Feat. Agent Snypa-Controller

Audio

Audio: Thatboymassin Feat. Agent Snypa-Controller

Baada ya kufanya vizuri kupitia wimbo wake uitwao “Only You” aliouachia mwezi Februari 2018 kwa mara nyingine tena amekuja na wimbo wake mpya uitwao Controller akiwa amemshirikisha mwanadada Agent Snypa kutoka nchini Nigeria.

Neno Controller (Mdhibiti) humaanisha mtu au kitu ambacho kinaongoza kitu kutembea, kuenenda kwa njia sahihi au kukaa katika nafasi sahihi. Katika wimbo huu, Massin anazungumzia jinsi Mungu anavyotuongoza na kuongoza maisha yetu bila kujali chochote kinachoweza kututokea, tunaweza kwenda kwa Mungu kuomba chochote na kutujibu kwa mapenzi yake kwa sababu Yeye hutujua vizuri zaidi, na kwa hakika yeye ni mdhibiti wetu mwema.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa!

 

Social Media
Facebook: ThatBoyMassin
Instagram: @thatboymassin
Twittter: @thatboymassin

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top