Video | Audio: Mr Seed - Wacheni Niimbe - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Audio: Mr Seed – Wacheni Niimbe

Audio

Video | Audio: Mr Seed – Wacheni Niimbe

Wakati akiendelea kufanya vizuri kupitia video ya wimbo wake uitwao GwaraGwara mwimbaji anayefanya vizuri nchini Kenya maarufu kama Mr. Seed kwa mara nyingine tena ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Wacheni Niimbe, Video hii imeongozwa na director Rahim na Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa  chini ya mikono ya prodyuza Paulo.

Wacheni Niimbe ni wimbo wa shukrani kwa Mungu kwa yale ambayo Mungu ametenda katika maisha yetu hasa tunapokumbuka kule tulipotoka ambako tumekuwa na shida na machungu mengi lakini kupitia upendo wa Bwana wetu Yesu Kristo tumepewa nguvu ya kuvuka kwa ushindi na sasa tunamwimbia kwa sifa na utukufu wake.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na hakika utabarikiwa!

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko wasiliana na muimbaji Mr.seed kupitia:
Facebook: Mr Seed
Instagram: @mrseedofficial
Youtube: Mr.seedOfficial Music

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top