Audio: Huruma Mbogela - Yesu ni Mfalme Mkuu - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Huruma Mbogela – Yesu ni Mfalme Mkuu

Audio

Audio: Huruma Mbogela – Yesu ni Mfalme Mkuu

Kutoka jijini Dar es salaam leo kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Huruma Mbogela ambaye ameachia wimbo wake wa kwanza kwa mwaka 2018 uitwao Yesu ni Mfalme Mkuu, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za EMG Records chini ya mikono ya prodyuza Oggy Keyz.

“Yesu ni Ngome, Mwamba imara usiotikisika kamwe, na tena ni Mfalme juu ya wafalme wote, Kwa kuwa yeye ni Mkuu, basi ipo sababu ya kumwabudu yeye Peke yake, Yeye ni Bwana tena anastahili sifa zote.” – alisema Huruma

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu wa Ibada tukiamini kuwa utakubariki na kukugusa kwa namna ya kipekee, Bwana Yesu asifiwe!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Huruma Mbogela kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 900 180
Facebook: Huruma Mbogela
Instagram: @hurumambogela
Twittter: @hurumambogela
Youtube: Huruma Mbogela

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top