Video | Audio: Hellen sogia - Umetamalaki - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Audio: Hellen sogia – Umetamalaki

Audio

Video | Audio: Hellen sogia – Umetamalaki

Kutoka kwenye albamu ya pili iitwayo Ndoa ni Takatifu, Mwimbaji na mtumishi wa Mungu Hellen Sogia tayari ameshaachia video ya wimbo wake uitwao Umetamalaki, Video hii imeongozwa na director Japhet na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio  za Sogia Production chini ya mikono ya prodyuza Johnson Luzzah.

Huu ni wimbo wa kuabudu ukimpa Mungu sifa na utukufu wake, matendo yake yamekuwa makubwa mno katika maisha yetu, yeye ni mtakatifu na ametamalaki, ametukuka juu ya mataifa yote, uzuri wake umetanda patakatifu. Yeye ni Mtakatifu wa milele na milele, anastahili heshima na utukufu siku zote.

Mbali ya kuwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Hellen Sogia pia ni mtumishi wa Mungu katika kuihubiri Injili kwa njia mbalimbali ikiwemo mafundisho na mahubiri, pia ni mwandishi wa vitabu mbalimbali vya mafundisho ya Biblia.

Kwa moyo mkunjufu tnakukaribisha kutazama video hii ambayo tunaamini itakubariki na kukuinua siku ya leo, Barikiwa.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mtumishi Hellen Sogia kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 351 048, +255 716 711 867
Facebook: Hellen Sogia
Instagram: @hellensogia
Youtube: Hellen Sogia

Like us on facebook >> Gospo Media  Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top