Connect with us

Video | Audio: Betty Balongo – Prisoner No More

Music

Video | Audio: Betty Balongo – Prisoner No More

Baada ya kufanya vizuri mwaka 2017 kupitia nyimbo alizoachia ikiwemo Nijenge, Kwa mara ya kwanza kwa mwaka 2018 mwimbaji anayendelea kufanya vizuri katika huduma ya muziki wa Injili nchini Tanzania maarufu kama Betty Barongo ameachia video yake mpya iitwayo Prisoner No More, Video hii imeongozwa na director Crixocris kutoka studio za Key Art Film na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza K-Star.

“Prisoner No More ni wimbo wa ushuhuda, Ninashuhudia jinsi ambavyo Mungu amenitetea, amenipigania, amenisaidia, amenitoa katika vifungo mbali mbali na kuniweka huru, Huru kwelikweli.” #PrisonerNoMore – alisema Betty Barongo.

Mbali na sauti yake yenye mguso wa kipekee lakini pia utainuliwa na ujumbe mzuri ulio katika wimbo huu kila wakati utakapokuwa unatazama na kusikiliza, Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama na hakika utabarikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Betty Barongo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 626 256 504
Facebook: Betty Barongo
Instagram: @bettybarongo
Youtube: Betty Barongo

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,507 other subscribers

To Top