Video: Havoc Musiq - Atatenda - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Havoc Musiq – Atatenda

Audio

Video: Havoc Musiq – Atatenda

Kutoka jijini Nairobi Kenya leo nimekuletea video ya wimbo uitwao Atatenda kutoka kwa mwimbaji mpya anayefahamika kwa jina la Havoc Musiq.

Video hii imeongozwa na director WB kutoka studio za Red Clarity na Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Krucial Sounds chini ya mikono ya prodyuza Johnttez.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii, Barikiwa!

Social Media
Facebook: Havoc Musiq
Instagram: @havocmusiq
Twittter: @havocmusiq
Youtube: Havoc Musiq

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top