Connect with us

Audio: Blessing Ocheh – Send Down the Rain

Audio

Audio: Blessing Ocheh – Send Down the Rain

Kutoka katika huduma ya muziki wa Injili nchini Nigeria leo nimekuletea wimbo mzuri wa Ibada uitwao Send Down the Rain kutoka kwa mtumishi, mwimbaji na mwandishi wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Blessing Ocheh Ikiwa ni moja ya wimbo utakaopatikana kwenye albamu yake ya nne iitwayo Jesus Alone.

“Katika nyakati hizi za maisha ambapo uamsho wa kiroho ni muhimu zaidi kuliko kitu chochote, Ni wakati wa kuacha kuangalia vile vinavyotuzunguka, Bali kuweka akili zetu na mawazo yetu pale ambapo Roho Mtakatifu anatuongoza.

Kwa wakati huu, Mungu anaishi na kutembea kwa kila mmoja ndani yake, nasi tufurahi kuishi kwake ndani ya mioyo yetu, Huku tukiendelea kusubiri kwa kutarajia kile kinachokuja. ”

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yangu kuwa utakugusa na kukubariki, Ameen.

 

Download Audio

Social Media
Facebook: Ocheh Achenyo
Instagram: @ochehachenyo
Twittter: @ochehh

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,697 other subscribers

To Top