Video | Audio: Bahati - Rock of My Life - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Audio: Bahati – Rock of My Life

Audio

Video | Audio: Bahati – Rock of My Life

Moja ya waimbaji wanaofanya vizuri katika huduma ya muziki wa Injili nchini Kenya hutaacha kumzungumzia Bahati ambaye ameshaweka historia ya kufanya vizuri katika kila wimbo alioweza kuachia kwa vipindi tofauti na kumfanya kuwa sehemu muhimu katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini humo na kuwa na mafanikio makubwa.

Baada ya kimya kidogo, Kwasasa amekuja na video ya wimbo wake mpya uitwao Rock of My Life, Video hii imeongozwa na director Einxer kutoka studio za Mr. Maxum Vision na muziki umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio EMB Records chini ya mikono ya prodyuza Paulo.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii, Barikiwa!

Download Audio

Social Media
Facebook: Bahati
Instagram: @bahatikenya
Twitter: @bahatikenya
Youtube: Bahati Kenya

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top