Connect with us

Video | Audio: Hellen sogia – Nina sababu

Music

Video | Audio: Hellen sogia – Nina sababu

Kutoka kwenye albamu yake ya pili iitwayo Ndoa ni Takatifu, Mtumishi wa Mungu kutoka katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania Hellen Sogia, Kwa mara nyingine tena ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Nina Sababu, Video hii imeongozwa na director Japhet na Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Sogia Studio Productions, chini ya mikono ya prodyuza Johnson Luzzah.

“Kila siku nikitafakari jinsi Mungu alivyo wa upendo kwetu, Kwa upendo wake usio na kipimo kwetu, nikitafakari Jinsi Yesu alivyo acha fahari yake, kwa ajili yangu mimi nisiyestahili, akanistahilisha, akanibariki, akanifanya hivi nilivyo, nasema sitaacha kumtumikia na nitapaza sauti yangu kutangaza Ukuu na uweza pamoja na upendo wake kwa wanadamu wote, kwa kumwimbia na kuhubiri, Maisha yangu , huduma yangu idumu mikononi mwake, maana hataniacha kamwe, Kama alivyoenda na Musa, Joshua, Eliya, na hata mimi hataniacha.” – alisema mtumishi Hellen Sogia

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa na Neno la Mungu litakalo kaa ndani yako, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mtumishi Hellen Sogia kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 351 048 au +255 716 711 867
Facebook: Hellen Sogia
Instagram: @hellensogia
Youtube: Hellen Sogia

Like us on facebook >> Gospo Media  Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,507 other subscribers

To Top