Connect with us

Gospo Media

Video | Audio: Moureen Boaz – Mungu Ni Mwema

Audio

Video | Audio: Moureen Boaz – Mungu Ni Mwema

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza kwa mwaka 2018 nimekusogezea video nzuri iitwayo Mungu ni Mwema kutoka kwa mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili anayefahamika kwa jina la Mourene Boaz, Video hii imeongozwa na director Azalia Mwantimwa na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Mefo Records chini ya mikono ya prodyuza Kingson.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii njema na wimbo huu ukawe baraka kwako kila unapokuwa unasikiliza Mungu akajidhihirishe kwako, Amen.

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/06/Moureen-Boaz-Mungu-ni-Mwema.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Danny Gift kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 769 802 997
Facebook: Moureen Boaz Mwakasitu
Instagram: @moureenboaz
Twittter: @moureenboaz
Youtube: Moureene Boaz

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,131 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top