Connect with us

Gospo Media

Audio: Benjamin Okenna Feat. Preye Odede – God Never Disappoints

Audio

Audio: Benjamin Okenna Feat. Preye Odede – God Never Disappoints

Kutoka nchini Nigeria leo nimekuletea wimbo mzuri uitwao God Never Disappoints kutoka kwa mtumishi wa Mungu Benjamin Okenna akiwa amemshirikisha mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini humo Preye Odede, Muziki huu umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Prince Vibes.

Nina imani kuwa utakubarikiwa na kuguswa na wimbo huu mzuri, kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza. Barikiwa!

 

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/06/Benjamin-Okenna-God-Never-Disappoints.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Social Media
Facebook: Benjamin Okenna | Preye Odede
Instagram: @sawadinho | @preyeodede
Twittter: @sawadinho1 | | @preyeodede

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,131 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top