Connect with us

Video | Audio: Rebecca Soki – Baraka Zangu

Audio

Video | Audio: Rebecca Soki – Baraka Zangu

Kutoka jijini Nairobi leo nimekusogezea video nzuri iitwayo Baraka Zangu kutoka kwa mwimbaji Rebecca Soki akiwa chini ya lebo ya EMB Records, Video hii imeongozwa na director J Blessing na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio EMB Records.

Baraka Zangu ni wimbo uliobeba maombi kwa Mungu, Haijalishi ni hali gani tunapitia, changamoto na mapito gani bado imani yetu ni imara katika kumsubiri Bwana Yesu aweze kujibu yale ambayo tunahitaji katika maisha yetu.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii njema, na hakika utabarikiwa, kuinuliwa na kuponywa kwa jina la Yesu!!!

Download Audio

Social Media
Instagram: @rebeccasokiofficial
Twittter: @rebeccasokiofficial

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,697 other subscribers

To Top