Connect with us

Gospo Media

Audio : Prince George – Nivushe

Audio

Audio : Prince George – Nivushe

Kutoka jijini Dar es salaam leo kwa mara ya kwanza nimekuletea wimbo uitwao Nivushe kutoka kwa mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Prince George, Muziki huu umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Zinja na kurekodiwa ndani ya studio za Olduvai Music.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusilikiliza na kupakua wimbo huu nikiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

 

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/06/Prince-George-Nivushe.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Prince George kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 785 353 779
Facebook: Prince George
Instagram: @princegeorge
Twittter: @princegeorge
Youtube: Prince George

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,131 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top