Connect with us

Gospo Media

Audio: Marry Theopistor – Unatawala

Audio

Audio: Marry Theopistor – Unatawala

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza leo nimekuletea wimbo mzuri uitwao Unatawala kutoka kwa mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Marry Theopistor, Muziki umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Enzi Records chini ya mikono ya prodyuza Amyz.

“Kwa majina yangu naitwa Marry Theopistor ni mwimbaji mpya wa nyimbo za injili hapa kwetu nchini Tanzania nimeanza huduma ya uimbaji kwa kuachia wimbo huu wa kwanza uitwao Unatawala naamini kuwa kuna watu watabarikiwa kupitia wimbo huu zaidi ya yote nahitaji maombi yenu ili niweze kuendelea kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji, Nimeimba wimbo huu wa Unatawala kwasababu nimemwona Mungu akitawala katika maisha yangu kwa namna ya pekee sana.” – Marry Theopistor

Nina imani kuwa utabarikiwa na kipaji cha mwimbaji huyu ambaye kwa hakika ameonyesha uwezo wake wa uimbaji na utunzi kwa namna ya kipekee sana, Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu hapa na Bwana aendelee kutawala maisha yako siku zote.

 

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/06/Marry-Theopistor-Unatawala.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Marry Theopistor kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 672 219 870
Facebook: Marry Theopistor
Instagram: @marry_theopistor

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top