Audio: Suzyani Feat. Ebiere – Come With Me - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Suzyani Feat. Ebiere – Come With Me

Audio

Audio: Suzyani Feat. Ebiere – Come With Me

Kutoka nchini Nigeria leo nimekusogezea wimbo mzuri wa sifa uitwao “Come With Me” kutoka kwa mwanadada anayefahamika kwa jina la  Suzyani akiwa amemshirikisha mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili nchini humo maarufu kama Ebiere, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Akamon.

“Come With Me” ni wimbo wa sifa unaohimiza watu kuungana pamoja ili kusifu na kumshukuru Mungu kwa pamoja hii ikiwa ni alama ya upendo aliyotufundisha Bwana wetu Yesu Kristo. Mungu ni pendo na kwa yote ambayo ameshatutendea na anayoendelea kutenda katika maisha yetu basi yatupasa kila mmoja kwa nafasi yake kurudisha sifa na utukufu kwake Mungu mkuu.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu mzuri na Mungu azidi kukubariki kila wakati.

 

Download Audio

Social Media
Facebook: suzyanimusic | Instagram: @suzyanimusic | Twitter: @suzyani

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top