Connect with us

Gospo Media

Audio: Gelax – Baraka

Audio

Audio: Gelax – Baraka

Baada ya kimya cha muda mrefu rapa wa nyimbo za Injili kutoka jijini Arusha Gelax ameachia wimbo wake wa kwanza kwa mwaka 2018 uitwao Baraka, Muziki huu umetayarishwa na mikono ya prodyuza DizzChriss.

“Baraka ni wimbo unao ongozwa na matukio ya kweli yaliyotokea mwaka 2017, Wakati nikiwa katika maombi kwa siku 5 za mwisho za 2016 tukijiandaa kuukaribisha mwaka mpya, Nilisikia sauti ya Roho Mtakatifu ikinena nami, kwamba “kila siku kwa mwaka 2017 utakuwa na baraka mpya unachohitajika ni kuwa makini na uziandike kuzihusu “niliamini kuwa, jambo la kwanza nililopata ni kazi. Wimbo huu ni ushuhuda wangu na ninaamini utamgusa kila mtu ambaye atausikiliza ili kupata ujumbe kwamba kuna baraka mpya kwa sisi kila siku kutoka kwa baba yetu wa mbinguni. Tunachotakiwa kufanya ni kuamini na kuweka imani yetu kwake. #Baraka” – alisema Gelax

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu uliojaa ushuhuda ambao kwa namna moja ama nyingine unaweza kukugusa kwa namna yako. Barikiwa!

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/06/Gelax-Baraka.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na rapa Gelax Wakristo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 657 140 440
Facebook: Gelax Wakristo
Instagram: @gelaxwakristo
Twittter: @gelaxwakristo
Youtube: Gelax Wakristo

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,148 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top