Audio: Emily Yoneh – Big Things - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Emily Yoneh – Big Things

Audio

Audio: Emily Yoneh – Big Things

Bwana Yesu asifiwe mwana wa Mungu, Leo kutoka nchini Nigeria nimekuletea wimbo mzuri wa kuabudu uitwao “Big Things” kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Emily Yoneh, Muziki huu ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Da’Genius.

Ni wimbo wa pekee unaokiri na kuthibitisha uwezo na nguvu za Mungu juu ya vitu vyote vinavyotuzunguka unaokufanya ufikirie juu ya maajabu ya yake yenye kushangaza akili zako kwa yale ambayo amefanya na anayoendelea kuyafanya na umekuwa unayashuhudia kwa Imani yako, na hii inakufanya uwe unafikiria na kumtafakari Mungu katika viwango ambavyo si vya kawaida kwa yale ambayo umeshayashuhudia.

Ni imani yangu kuwa utabarikiwa kila wakati utakapokuwa unasikiliza wimbo huu mzuri kutoka kwa mwanadada Emily Yoneh, Bwana Yesu aendelee kufanya mambo makubwa katika maisha yako, kila unapomuamini na kumkabithi maisha yako ayaongoze, Ameen.

 

Download Audio

Social Media
Facebook | Instagram | Twitter: @emilyyoneh

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top