Video | Audio: Dorris Kenga - Mfariji Wangu - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Audio: Dorris Kenga – Mfariji Wangu

Video

Video | Audio: Dorris Kenga – Mfariji Wangu

Kutoka jijini Nairobi Kenya, Leo nimekusogezea video ya wimbo uitwao “Mfariji Wangu” kutoka kwa mwimbaji Dorris Kenga, video ya wimbo huu imeongozwa na director Dimples kutoka studio za Bubbles Media Creation na muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya producer Ephantus na kurekodiwa ndani ya studio za Shangwe Records.

“I wrote the song “Mfariji Wangu” due to some problems zenye nilikua nikiface since 2002 hadi sasa ndo nikaona mwenyewe nahitaji Mungu anifariji coz muda mwingi nilikua hopeless mara najikuta tu sina amani so I decided to do the song Mfariji Wangu. Mimi nilianza muziki 2015 but due to some challenges za hapa na pale ilinichukua muda sana hadi 2017 December ndo nikatoa video yangu ya kwanza, nilijitambua niko na hiki kipawa tangu nikiwa mdogo sana back in class 3 though mi mwenyewe hupenda kuimba sana popote pale mi huimba.” – alisema mwimbaji Dorris.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama na kupakua wimbo huu ambao ni imani yangu utakuwa ukikufariji kila wakati utakapokuwa unasikiliza, Barikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Dorris Kenga kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 702 903810
Facebook: Loveness Kenga
Instagram: @lovenessrawlings
Twittter: @dorris_kenga
E-mail: dorriskengaj@gmail.com

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top