Video | Audio: Theofrida Gervas - Wewe ni Mwema - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Audio: Theofrida Gervas – Wewe ni Mwema

Video

Video | Audio: Theofrida Gervas – Wewe ni Mwema

Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam Theofrida Gervas ameachia video yake mpya iitwayo Wewe ni Mwema ikiwa imeongozwa na studio za Irmedia na muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Timothy Sagiro.

”Katika maisha yetu tunapitia mambo mengi, mazuri na magumu pia, lakini nyakati zote hizo Mungu hajawahi pumzika wala kuacha kuwa mwema kwetu, Yeye ni mwema kwetu siku zote, Nakukaribisha kuangalia video hii kwenye channel yangu ya YouTube unaolezea wema Wa Mungu katika maisha yetu.” – Alisema mwimbaji Theofrida.

Wewe ni Mwema ni video ya pili kuachiwa rasmi baada ya ile video yake ya kwanza inayofahamika kwa jina la Jesus aliyoiachia mwishoni mwa mwaka 2016.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribsha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao nina hakika utakubariki na kukuinua, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Theofrida Gervas kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 655 605 377
Facebook: Theofrida Gervas
Instagram: @theofridagervas
Youtube: Theofrida Gervas

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top