Connect with us

Gospo Media

Audio: Divine Feat. Casey Ed & Snypa – You Light Up My World

Audio

Audio: Divine Feat. Casey Ed & Snypa – You Light Up My World

Baada ya kufanya vizuri kupitia wimbo wake mzuri uitwao What Manner of Love alipuachia mwishoni mwa mwaka 2017 mwimbaji kutoka nchini nigeria maarufu kwa jina la Divine kwa mara nyingine tena amaeachia wimbo wake mzuri uitwao ”You Light Up My World” akiwa amemshirikisha mwimbaji Casey Ed pamoja na Snypa. Muziki huu umetayaarishwa na mikono ya prodyuza anayefahamika kwa jina la Mr. Brown.

”You Light Up My World” ni wimbo wa kuhamasiaha na kusifu jina la Bwana Yesu Kristo ukiwa ni wenye vionjo vya mahadhi ya mtindo wa muziki wa rege ukiwa ni moja ya wimbo unaopatikana kwenye albamu yake ya kwanza iitwayo ”The Fire”.  Naamini wimbo huu utabariki na kuuinua moyo wako. Karibu!

 

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/02/Divine-Feat.-Cased-Snypa-You-Light-Up-My-World.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Social Media
Facebook: Divine Ukaogo
Instagram: @divineukaogo
Twitter: @divineukaogo
YouTube: Divine Ukaogo

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

To Top