Audio: Joseph Jonathan – Revival - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Joseph Jonathan – Revival

Audio

Audio: Joseph Jonathan – Revival

Revival ni wimbo mzuri wa kuabudu kutoka kwa mtumishi wa Mungu anyefahamika kwa jina la Joseph Jonathan akitokea nchini nigeria akiwa ni muimbaji pekee aliyebarikiwa katika maeneo mbalimbali ya muziki ikiwemo uandishi wa nyimbo, upigaji mzuri wa kinanda na mwalimu mzuri wa nyimbo za kuabudu na sifa.

Wimbo huu ameuachia hivi karibuni ukielezea upendo na ibada ya kweli ndani ya moyo wa mtu ambaye ameamua kumtumikia Yesu katika roho na kweli, kama kitabu cha Isaya 54:15 kinavyosema ”Hivi ndivyo asemavyo Mungu aliye juu kabisa, aishiye milele na ambaye jina lake ni “Mtakatifu”: “Mimi nakaa huko juu, mahali patakatifu, nakaa pia na wenye majuto na wanyenyekevu. Mimi nitawatia moyo walio wanyenyekevu na kuwapa nguvu wenye majuto.”

Wimbo huu umetayarishwa na mikono ya prodyuza Damils na kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao nina hakika utakubariki na kukufariji siku ya leo, Ameen!

Download Audio

Social Media
Facebook: Joseph Jonathan
Instagram: @jabian007
Twitter: @jabian007

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top