Tazama Video | Download Official Audio: Shadrack Robert - Usiyelala - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Tazama Video | Download Official Audio: Shadrack Robert – Usiyelala

Video

Tazama Video | Download Official Audio: Shadrack Robert – Usiyelala

Kutoka jijini Arusha leo tumekusogezea video mpya iitwayo Usiyelala kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayejulikana kwa jina la Shadrack Robert video ikiwa imeongozwa na director Travellor kutoka Kwetu Studios na wimbo ukiwa umetaayarishwa na prodyuza Samtimber kutoka ndani ya studio za Fnouk jijini Arusha.

Huu ni wimbo wa kumtukuza Mungu ambapo mwimbaji Shadrack Robert anatukumbusha nguvu ya uwepo wa Mungu maishani mwetu na kupitia kazi yake amekuwa akitutendea makuu wakati wote haijalishi kuwa ni asubuhi, mchana au usiku na hivyo ndivyo sisi kama wana wa Mungu tunatakiwa kumtukuza Mungu wakati wote ili roho mtakatifu atupe nguvu ya kutenda makuu kwa utukufu wake Mungu Baba.

Huu ni moja kati ya wimbo utakaokufanya ubarikiwe na kuinuliwa na nguvu ya Mungu ikubariki na kukuinua kila utakapousikiliza wimbo huu, kwakuwa nguvu ya Mungu ni salama, asubuhi halali, usiku halali na mchana halali….

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakufanya kubarikiwa na kuinuliwa. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Shadrack Robert kupitia
Simu/WhatsApp: +255 767 897 260
Facebook: Shadrack Robert
Instagram: @shadrackrobert
Twitter: @shadrackrobert2
YouTube: Shadrack Robert
Email: thisisshadrack@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top