Connect with us

Gospo Media

Download Audio: Evelyn Gospel – Name Of Jesus

Audio

Download Audio: Evelyn Gospel – Name Of Jesus

Anaitwa Evelyn Ozioma maarufu akijulikana kama Evelyn Gospel leo kupitia blog yako pendwa ya gospomedia anakukaribisha kusikiliza wimbo wake mpya uitwao Name of Jesus ukiwa umetayarishwa na produyza Saint kutoka nchini Nigeria.

Evelyn Gospel ni mwimbaji aliyezaliwa katika mji wa Enugu Kusini mashariki mwa nchi ya Nigeria, ni mwandishi na mtumishi mzuri sana katika tasnia ya muziki wa injili, Alianza kuimba katika miaka ya 90 katika kwaya ya kanisa lake alilokuwa anaabudu na mwaka 2007 alianza kuimba rasmi kihuduma na kubarikiwa kuachia albamu zake mbili za muziki moja ikiwa inaitwa Kings of Kings iliyotoka 2012 na albamu nyingine inaitwa Alaoma iliyotoka 2013 ambazo kwasasa zipo madukani na nyimbo zake inapewa nafasi kubwa katika vyombo mbalimbali vya habari hasa radio na tv.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu wa kuabudu kutoka kwa mwanadada Evelyn Gospel ‘Name Of Jesus’ ambao tunahakika utakubariki sana. Karibu!!

Download Audio

Evelyn Gospel

Facebook: Evelyn Ozioma
Instagram: @evelyngospel
Twitter: @evelynozioma

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Continue Reading
Advertisement
You may also like...

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,131 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top