Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Joel Lwaga - Sitabaki Nilivyo - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Joel Lwaga – Sitabaki Nilivyo

Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Joel Lwaga – Sitabaki Nilivyo

Kutoka Dar es salaam Tanzania, leo kupitia tovuti yako pendwa ya gospomedia.com tumekuwekea video mpya iitwayo Sitabaki Nilivyo kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo Injili hasa kwa muziki wa live perfomance anayefahamika kwa jina la Joel Lwaga wimbo huu umetengenezwa ndani ya studio ya Push Up chini ya mikono ya prodcer Innocent Mujwahuki na video ikiwa imeongozwa na Director Ivan.

gospomedia.com inakukaribisha kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu mpya kutoka kwa muimbaji Joel Lwaga  kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili Baraka hizi ziweze kuwafikia watu wengi zaidi mahala pote duniani na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!


Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Joel Lwaga kupitia
Simu/WhatsApp: +255 716 747 597
Facebook: Joel Lwaga
Instagram: @Joellwaga_official
YouTube: JoelLwaga

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top