Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Jimkery Tuesday-Uweponi Mwako - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Jimkery Tuesday-Uweponi Mwako

Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Jimkery Tuesday-Uweponi Mwako

Kutoka jijini dar es Salaam Tanzania leo kupitia gospomedia.com tumekuletea video mpya kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayejulikana  kwa jina la Jimkery Tuesday video ya wimbo huu inaitwa Uweponi Mwako ikiwa imeongozwa na director Shama kilasi kutoka studio za Q-5 Film’s na audio ikiwa imetengenezwa na producer Jay Willz kutoka studio za Q-5 Media.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kuitazama video hii, kusikiliza na kupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kiroho kupitia wimbo huu wa Uweponi Mwako kutoka kwa muimbaji Jimkery Tuesday na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma za mialiko wasiliana na muimbaji Jimkery Tuesday kupitia
Simu/WhatsApp: +255 755 986 772
Facebook: Jimkery Tuesday
Instagram: @jimkery_tuesday

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram>> @gospomedia

Advertisements
Continue Reading
Advertisement
You may also like...

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top