Tazama Video | Sikiliza & Download New Music Audio: Kaffi Sound - Power In The Name - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Tazama Video | Sikiliza & Download New Music Audio: Kaffi Sound – Power In The Name

Video

Tazama Video | Sikiliza & Download New Music Audio: Kaffi Sound – Power In The Name

Kutoka kenya, kupitia tovuti ya gospomedia.com leo tunaitambulisha kwako video mpya inayoitwa Power In The Name kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Kaffi Sound.

Video ya wimbo huu imeongozwa director Bakari Ousman kutoka studio ya Crosslife Movement na audio ikiwa imetengenezwa ndani ya studio ya FullHouse Music.

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama video ya wimbo huu uitwao Power In The Name kutoka kwa muimbaji Kaffi Sound pia unaweza kusikiliza na kupakua wimbo huu kisha mpe sapoti kwa kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili Baraka hizi ziweze kuwafikia watu wengi wengi zaidi mahala pote duniani kupitia Injili na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na muimbaji Kaffi Sound kupitia
Facebook: Kaffi Sound
Instagram: @kaffisound

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Continue Reading
Advertisement
You may also like...

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top