Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Shadrack Robert-Ashee Ngai - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Shadrack Robert-Ashee Ngai

Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Shadrack Robert-Ashee Ngai

Kutoka Arusha Tanzania leo gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa muimbaji wa nyimbo za Injili anayejulikana kwa jina la Shadrack Robert video ya wimbo huu inaitwa Ashee Ngai ikiwa ni wimbo uliobeba album yake mpya ambayo kwasasa inapatikana sokoni video ikiwa imeongozwa na director Dr.Samtimber kutoka studio ya Fnouk Studios na wimbo ukiwa umetengenezwa na producer Alex Lobulu kutoka studio ya Fnouk Studios.

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama video hii ya Ashee Ngai kutoka kwa muimbaji Shadrack Robert pia unaweza kuusikiliza na kuupakua wimbo huu hapa chini kisha utampa sapoti muimbaji huyu kwa kuwashirikisha wengine zaidi kwa kadri uwezavyo na hakika utabarikiwa sana Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Shadrack Robert kupitia
Simu/WhatsApp: +255 767 897 260
Facebook: Shadrack Robert
Instagram: @shadrackrobert
Twitter: @shadrackrobert2
YouTube: Shadrack Robert
Email: thisisshadrack@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Continue Reading
Advertisement
You may also like...

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top