Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Christina Seme - Bado Hujachelewa - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Christina Seme – Bado Hujachelewa

Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Music Audio: Christina Seme – Bado Hujachelewa

Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa  mwimbaji wa nyimbo za Injili anayejulikana  kwa jina la Christina Seme video ya wimbo huu inaitwa Bado Hujachelewa video ikiwa imeongozwa na director Jowzey na wimbo ukiwa umetengenezwa na producer C9 Kanjenje  kutoka katika studio za C9 zilizopo Dar.

Christina Seme kwa sasa anafanya huduma pamoja na mume wake anayeitwa Richard Mmari  ambao wote kwa pamoja wanamtukia Mungu kwa njia hiyo ya uimbaji na kwa sasa wako mbioni kuachia album yao ya pamoja. Christina Seme na Richard Mmari wameomba wadau wa Muziki wawapokee kwa mikono miwili kwani wana vitu vingi ambavyo wamewaandalia kwa ajili ya kuwainua kiroho.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kutazama, kusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi wapate kubarikiwa na kuinuliwa kimwili na kiroho kupitia wimbo huu wa Bado Hujachelewa kutoka kwa muimbaji Christina Seme na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na waimbaji hawa Christina Seme & Richard Mmari kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 714 444 430
Facebook Page: Christina Seme & Richard Mmari
Instagram: @Richard_and_Christina_Official
Youtube: Christina & Richard

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top