Tazama Video | Sikiliza & Download Audio: Kihayile Group - Mtenda Miujiza - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Tazama Video | Sikiliza & Download Audio: Kihayile Group – Mtenda Miujiza

Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Audio: Kihayile Group – Mtenda Miujiza

Kutoka Mwanza Tanzania leo gospomedia.com tumekuletea video ya wimbo mpya kutoka kwa kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili linalojulikana kwa jina la Kihayile Group video ya wimbo huu inaitwa Mtenda Miujiza video ikiwa imeongozwa na director Kenny ukiyz na wimbo ukiwa umetengenezwa na producer Emmanuel kutoka Emmanuel studio iliyopo jijini Dar.

gospomedia.com tunakukaribisha kuitazama video hii ya Mtenda Miujiza kutoka kwa kundi la waimbaji wa Kihayile Group pia unaweza kuusikiliza na kuupakua wimbo huu hapa chini kisha utampa sapoti muimbaji huyu kwa kuwashirikisha wengine zaidi kwa kadri uwezavyo na hakika utabarikiwa sana Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na kundi la Kihayile Group kupitia
Simu/WhatsApp: +255 754 426 593

Facebook page: Kihayile Group
Instagram: @kihayilegroup
Twitter: @kihayilegroup
YouTube: Kihayile Group
Email: thisisshadrack@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Continue Reading
Advertisement
You may also like...

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top