Tazama Video | Sikiliza & Download Audio: Jessica Honore Bm - Usifiwe Jehova - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Tazama Video | Sikiliza & Download Audio: Jessica Honore Bm – Usifiwe Jehova

Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Audio: Jessica Honore Bm – Usifiwe Jehova

Kutoka Dar es salaam, Tanzania leo kupitia tovuti ya gospomedia.com tumekuwekea video mpya kutoka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Jessica Bm(Jessica Honore Bm)video ya wimbo huu inaitwa Usifiwe Jehova ikiwa imeongozwa na director Jackson Joachim kutoka Blessing Studio na wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Real Production chini ya mikono ya producer Masanja Frester.

gospomedia.com tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu Usifiwe Jehova kutoka kwa muimbaji Jessica Honore Bm kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kumpa sapoti muimbaji huyu pia kuisambaza Injili kupitia muziki na hakika utaweza kubarikiwa na kuinuliwa zaidi kila utakapokuwa unasikiliza wimbo huu. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Jessica Bm kupitia
Simu/WhatsApp: +255712332007
Facebook: Jessica Honore bm
Instagram: @officialjessicah
Twitter: jessicabm
YouTube: Jessica Honore bm

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top