Tazama Video | Sikiliza & Download Audio: Ikupa Mwambenja-Uzuri Wako - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Tazama Video | Sikiliza & Download Audio: Ikupa Mwambenja-Uzuri Wako

Video

Tazama Video | Sikiliza & Download Audio: Ikupa Mwambenja-Uzuri Wako

Kutoka dar es salaam Tanzania, tovuti ya gospomedia.com leo tunaitambulisha kwako video mpya inayoitwa Uzuri Wako kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Ikupa Mwambenja ikiwa ni moja ya video na wimbo unaopatikana kwenye album yake mpya inayoitwa ADONAI aliyoiachia hivi karibuni, cideo hii imeongozwa na director Einxer na Audio ya wimbo huu imetengenezwa ndani ya studio ya Mefo Records chini ya mikono ya producer King Son.

gospomedia.com tumekuwekea video ya wimbo huu uweze kuitazama, kuusikiliza na kuupakua kisha uwashirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili wapate kubarikiwa kupitia video hii na wimbo huu na hakika Mungu atakubariki sana. Karibu!!

DOWNLOAD

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na mwimbaji Ikupa Mwambeja wasiliana naye kupitia
Simu/WhatsApp: +255 654787419
Facebook: Ikupa Mwambenja
Instagram: @ikupamwambenja
Youtube: Ikupa Mwambenja

Like Page yetu ya facebook >> GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top