Sikiliza & Download Music Audio: Pastor Erick Mtalemwa-Kitendawili - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Sikiliza & Download Music Audio: Pastor Erick Mtalemwa-Kitendawili

Audio

Sikiliza & Download Music Audio: Pastor Erick Mtalemwa-Kitendawili

Kutoka mwanza Tanzania, gospomedia.com leo inamtambulisha kwako mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Eric Mtalemwa ambaye pia ni Mchungaji wa kanisa la KKKT, Dayosisi ya Mashariki ya ziwa Victoria na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Kitendawili ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Tivol chini ya mikono ya producer Salehe Mashauri kutoka jijini Mwanza.

gospomedia.com tumekuwekea wimbo huu uweze kuusikiliza na kuupakua kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili wengine wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu wa Kitendawili na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na mwimbaji Eric Mtalemwa wasiliana naye kupitia.
Simu/WhatsApp: +255 766 013 159
Facebook: Eric Hance Mtalemwa
Instagram: @ericmtalemwa29 Email: huomenta60@gmail.com

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top