Sikiliza & Download Music Audio: Kelvin Weber - Nitumie - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Sikiliza & Download Music Audio: Kelvin Weber – Nitumie

Audio

Sikiliza & Download Music Audio: Kelvin Weber – Nitumie

Kutoka Arusha Tanzania, gospomedia.com leo inamtambulisha kwako muimbaji mpya na mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Kelvin Weber ambaye ni mshindi wa kwanza wa Gospel Star Search(GSS) 2016 kwa mkoa wa Arusha na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Nitumie ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Afrob chini ya mikono ya producer Alex Loburu kutoka jijini Arusha.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kuusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi ili wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu wa Nitumie na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na mwimbaji Kelvin Weber wasiliana naye kupitia.
Simu/WhatsApp: +255 766 372 520
Facebook: Kelvin Weber
Instagram: @kelvinweber

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

Advertisements
Continue Reading
Advertisement
You may also like...

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top