Sikiliza & Download Music Audio: Eliya Ngwaeje-U Mwema - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Sikiliza & Download Music Audio: Eliya Ngwaeje-U Mwema

Audio

Sikiliza & Download Music Audio: Eliya Ngwaeje-U Mwema

Kutoka Dar es salaam Tanzania, gospomedia.com leo inautambulisha kwako wimbo mpya kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Eliya Ngwaeje wimbo huu mpya unaitwa U Mwema ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Enzi Records chini ya mikono ya producer Amyz kutoka jijini Dar es salaam.

gospomedia.com tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu uweze kuusikiliza na kuupakua wimbo huu kisha washirikishe na wengine kwa kadri uwezavyo ili kuisambaza Injili kwa watu wengi zaidi ili wapate kubarikiwa na kuinuliwa kupitia wimbo huu wa U Mwema kutoka kwa muimbaji Eliya Ngwaeje na hakika utabarikiwa sana. Karibu!!

Download

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko na muimbaji Eliya Ngwaeje wasiliana naye kupitia.
Simu/WhatsApp: +255 712 321 976
Facebook: Eliya Ngwaeje
Instagram: @eliyangwaeje

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA instagram: @gospomedia

Advertisements

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top